Imetumwa: October 4th, 2022
Wafanyabiashara wa sekta binafsi wametakiwa kulipa kodi kwa wakati ili kuepusha usumbufu na ucheleweshwaji wa ukusanyaji wa mapato ya ndani ya nchi jambo ambalo linamhusu kila mfanyabiashara katika uk...
Imetumwa: October 4th, 2022
Wazazi na walezi wametakiwa kuwaombea Watoto wao ili waweze kufanya vizuri kwenye mtihani wa darasa la saba unaotarajiwa kufanyika kuanzia siku ya kesho tarehe 5 na tarehe 6 mwezi huu.
...
Imetumwa: September 29th, 2022
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imewataka wananchi kushiriki kwenye miradi ya maendeleo inayoendelea ili kujua thamani ya miradi hiyo kwani ni miradi inayoletwa Kwa ajili Y...