Imetumwa: November 10th, 2024
Kamati ya fedha wilaya ya Hai ikiongozwa na mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai Edmund Rutaraka imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi katika shule ya Sekondari Hai Day,shule ya Sekondari Saashish...
Imetumwa: September 26th, 2024
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Wilaya ya Hai ndugu Dionis Myinga amewataka wananchi wenye sifa kujitokeza kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba ...
Imetumwa: September 4th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Hai Lazaro Twange ameomba ushirikiano kutoka wa wadau na wataalamu wa wilaya ya Hai ili aweze kutekeleza majukumu yake na kuwezesha wananchi kupata huduma inayostahili kwa wakati.
...