Imetumwa: May 10th, 2021
Jumla ya watoto 42,253 wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wanatarajia kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa kichocho na minyoo Mei 17, 2021 kwa lengo la kudhibiti magonjwa hayo yaliyokuwa hayapewi kipaumbele.
...
Imetumwa: May 9th, 2021
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha kushughulikia maafa imetoa msaada wa vifaa kwa kaya zilizokumbwa na mafuriko katika kata za Weruweru, Masama Mashariki na Machame Magharibi w...
Imetumwa: May 8th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo Mei 8, 2021 amemuagiza Katibu Tawala wa wilaya hiyo Upendo Wella kusimamia zoezi la kuchukua mwili wa Bauda Nkya (68) mkazi wa Kijiji cha Nsh...