Imetumwa: December 1st, 2022
Afisa tawala wilaya ya Hai Mary Mnyawi amewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya ili wakapatiwe chanjo ya Polio ambayo imeanza kutolewa tena.
Mnyawi amese...
Imetumwa: November 25th, 2022
Wanafunzi 42,000 wa shule za msingi ndani ya wilaya ya Hai wenye umri kuanzia miaka mitano hadi 14 wanatarajia kupewa kingatiba kwa ajili ya kuzuia ugonjwa wa minyoo.
Hayo yamesemwa na mratibu wa m...
Imetumwa: November 25th, 2022
Wanafunzi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuwa makini katika maeneo yanayo wazunguka ili kuepukana na matukio ya ukatili wa kijinsia ambayo yamekua yak...