Imetumwa: July 17th, 2020
Serikali katika wilaya Hai mkoani Kilimanjaro imedhamiria kusimamia na kutekeleza kikamilifu sheria ya makosa ya jinai kwa mtu atakayejihusisha na masuala ya ukatili kwa watoto.
Hayo yamebainishwa ...
Imetumwa: July 16th, 2020
Watendaji wa Serikali mkoani Kilimanjaro wametakiwa kutimiza wajibu wao kwa weledi na uaminifu katika kupunguza kero na shida zinazowakabili wananchi katika maeneo yao.
Akimwakilisha Mkuu wa Mkoa w...
Imetumwa: July 14th, 2020
Wito umetolewa kwa wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai wakiwemo Wakuu wa Idara na wawezeshaji kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifu ili kutimiza malengo yaliyowekwa na Serikali katika kuhudumia ...