Imetumwa: December 10th, 2022
Ukosefu wa heshima, mmomonyoko wa maadili, mila na desturi kandamizi na kukosa hofu ya Mungu vimetajwa kuchochea vitendo vya ukatili katika jamii nyingi.
Akimwakilisha mkuu wa wilaya ya Hai kwenye ...
Imetumwa: December 8th, 2022
SERIKALI wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, imegiza viongozi wa vijiji pamoja na wananchi kuhakikisha kuwa wanatunza miti inayooteshwa ili kuboresha mazingira pamoja na kukabiliana na ukame katika mae...
Imetumwa: December 7th, 2022
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru viongozi kwa kushirikiana na wananchi wamefanya usafi katika soko la Mailisita lililopo Kata ya Mnadani kuelekea Maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Ta...