Imetumwa: June 2nd, 2020
Serikali katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imewaelekeza wakuu wa shule zilizopokea wanafunzi wa Kidato cha Sita kusimamia taaluma na kuimarisha juhudi za kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa...
Imetumwa: May 27th, 2020
Serikali wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imeipongeza idara ya Afya wilayani humo kwa juhudi inazoendelea kuzifanya katika mapambano dhidi ya homa Kali ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona.
...
Imetumwa: May 26th, 2020
Baraza la Madiwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeazimia kujitolea nguvukazi kwa ajili ya kusaidia maeneo yaliyopata maafa kutokana na uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na ...