Imetumwa: January 10th, 2021
Wanachama wa Chama cha Akiba na Mikopo cha Hai Rural Teachers SACOSS wametakiwa kushirikiana na bodi mpya ya uongozi ili kufikia maendeleo yanayokusudiwa kwa chama hicho.
Akiongea baada ya kutangaz...
Imetumwa: January 9th, 2021
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe amekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili katika Zahanati ya Kware iliyopo Kata ya Masama Kusini katika Wilaya ya Hai Mkoani Kili...
Imetumwa: January 6th, 2021
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai ambaye pia ni diwani wa kata ya Muungano Edmund Rutaraka amekagua hali ya mazingira ya shule ya sekondari Hai iliyopo katika kata hiyo kwa lengo la kubaini &...