Imetumwa: August 21st, 2025
Zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Hai limeendelea leo kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jimbo la Hai
Miongoni mwa waliyochukua fomu ni Daniel Mka...
Imetumwa: August 20th, 2025
Wawekezaji wilaya ya Hai wametakiwa kulinda rasimali zilizopo katika maeneo wanayowekeza pamoja na kutunza mazingira kwa kupanda miti yakutosha ili kuendelea kulinda uoto wa asili.
Hayo yamesemwa ...
Imetumwa: August 13th, 2025
Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, Sospeter Magonera, amewataka watumishi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanafanya vizuri katika mashindano ya michezo ya watumishi wa TAMISEMI SHIMISE...