Imetumwa: November 5th, 2019
Jumla ya wagombea 123 wa Chama cha mapinduzi CCM katika vitongoji na vijiji wanaoshiriki wa serikali za mitaa wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro wamepita bila kupingwa...
Imetumwa: November 4th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo amewataka watumishi wa Umma kwenye halmashauri yake kujikita katika kuwahudumia wananchi wanaopata huduma katika idara zao.
Sintoo ...
Imetumwa: October 28th, 2019
Zoezi la uchukuaji wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utahusisha vijiji,vitongoji, mitaa na wajumbe,zinatarajiwa kutolewa hapo kesho Oc...