Imetumwa: April 2nd, 2023
Mashindano ya Saashisha Cup 2022/2023 yaliyoanza rasmi mwezi Septemba 2022 kwa kuzikutanisha timu 87 kutoka ndani ya wilaya ya Hai yanaendelea katika vi- wanja mbali mbali.
Mashindano hayo yanayodh...
Imetumwa: March 29th, 2023
Ofisi ya Waziri Mkuu imeipongeza wilaya ya Hai kwa kuwa na mpango mathubuti wa kukabiliana na maafa ikiwa ni pamoja na kuwa na mkakati wa kupunguza vihatarishi vya maafa.
Pongezi hizo zilitolewa na...
Imetumwa: March 10th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai Edmund Rutaraka amewataka madiwani wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanasimamia kikamilifu utunzaji wa mazingira ikiwemo kuzuia ukataji holela wa miti unaosab...