Imetumwa: July 2nd, 2024
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Nurdin Babu ametoa mwezi mmoja kwa Wakuu wa wilaya mkoani Kilimanjaro kuhakikisha vikundi vyote vilivyochukua mkopo wa vijana,wanawake na watu wenye ulemevu unaotolewa katika ...
Imetumwa: June 27th, 2024
Serikali imetoa jumla ya shilingi 70,100,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 2 ya awali ya mfano katika shule ya msinngi Nkwanara kijiji cha Kyeeri kata ya Machame Magharibi kupitia mradi wa BO...
Imetumwa: June 18th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda, na dereva wake, wamefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea leo mchana katika eneo la Mjohoroni-Palestina, Kata ya KIA, Wilaya ya Ha...