Imetumwa: February 21st, 2019
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa atafanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Hai siku ya Ijumaa tarehe 22/02/2019 ambapo atafanya uzinduzi wa Shule Jumuishi ya Sekonda...
Imetumwa: February 3rd, 2019
Serikali imetoa kiasi cha shilingi 5,558,604,325.95 kwa ajili ya kugharamia elimu bila malipo kwa Wilaya ya Hai kuanzia Desemba 2015 ambapo kati ya fedha hizo shilingi 1,633,980,574....
Imetumwa: February 2nd, 2019
Ushirikiano kati ya viongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro umepelekea kushika nafasi ya kumi kitaifa katika ukusanyaji wa mapato ya ndani katika halmashauri.
Hayo yameelezwa n...