Imetumwa: May 5th, 2020
Meneja wa Banki ya CRDB Tawi la Hai mkoani Kilimanjaro,Adella Riwa amesema jamii ikifuata maelekezo ya wataalamu wa afya juu ya namna Bora ya kujinga na maambukizi ya virus vya Corona itasaidia ...
Imetumwa: April 30th, 2020
Chama cha Msalaba Mwekundu (RED CROS) Mkoa wa Kilimanjaro kimekabidhi msaada wa Magodoro 20, blanket 20 kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni Katika kijiji cha Ntakuja Kata ya Kia wilayani...
Imetumwa: April 29th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Hai imepokea kiasi cha shilingi 206,579,835 kutoka ubalozi wa Japan kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu ya shule ya msingi kibohehe.
Fedha hizo tayari zimepokelewa kw...