Imetumwa: January 14th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imetoa mkopo wa jumla ya shilingi milioni 94 na laki 9 na kuvikopesha vikundi 9 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.
Akikabidhi hundi yenye th...
Imetumwa: December 24th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Juma Irando amewataka waalimu na wanafunzi kuhakikisha wanatunza miundombinu ya shule mbali mbali iliyojengwa Wilayani humo.
Mkuu huyo wa wilaya ameya...
Imetumwa: December 24th, 2021
Diwani wa kata ya Masama kusini Cedrick Pangani amezikumbuka kaya masikini katika kijiji cha Mkombozi kilichopo kata hiyo kwa kutoa msaada wa vyakula, nguo pamoja na vinywaji vyenye thamani ya shiling...