Imetumwa: September 27th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Hai imepokea jumla ya fedha shilingi bilioni 1.9 za miradi ya maendeleo Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kutoka serikali kuu, pamoja na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa ajili ya...
Imetumwa: September 23rd, 2022
Serikali wilayani Hai imewataka wananchi kuhifadhi chakula kutokana na hali ya ukame iliyosababisha kukosekana kwa mvua hali iliyopelekea wakulima wengi kupata mavuno kidogo na wengine kukosa mazao ka...
Imetumwa: September 21st, 2022
Zaidi ya wakulima 30,000 wanatarajiwa kunufaika na ruzuku ya pembejeo inayotolewa na serikali katika msimu wa kilimo mwaka 2022/2023.
Akizuzungumza katika mahojiano maalumu mkuu wa divisheni ya kil...