Imetumwa: December 8th, 2024
Waendesha vifaa vya bayometriki na Waandishi Wasaidizi wa zoezi la Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga Kura wameapishwa leo na Afisa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Hai Leo tarehe 8/12/2024 zoezi...
Imetumwa: December 4th, 2024
Serekali wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imeanza rasmi ujenzi wa madaraja saba ikiwa ni pamoja na kunyanyua tuta za barabara mradi unaotarajiwa kugharimu Zaidi ya bilioni 5.
Akipokea taarifa ...
Imetumwa: November 27th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Hai Dionis Myinga ameshiriki katika Zoezi la Kupiga kura katika kituo cha Bomani ambapo amewashukuru Wananchi wote na kuendelea kutoa wito kuendelea kupiga kura k...