Imetumwa: October 8th, 2021
Katibu tawala wa wilaya ya Hai Upendo Wella ametoa siku 3 kwa wafugaji waliovamia kijiji cha Kimashuku kata ya Mnadani wilayani humo kuondoka na mifugo yao katika kijiji hicho.
Ametoa maagizo hayo ...
Imetumwa: October 6th, 2021
Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amewataka wananchi wa kata ya Narumu wanaoishi katika mikoa mingine kushirikiana na serekali kufanyia ukarabati shule ya msingi Orori .
Saashisha...
Imetumwa: October 5th, 2021
Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafuwe ameiomba serikali kupitia Waziri wa ujenzi na uchukuzi kutengeneza daraja lililokuwa likitumiwa na wananchi hao linalounganisha kata ya Weruweru na kata ya Mnad...