Imetumwa: June 5th, 2020
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai wametakiwa kuongeza ushiriki wao katika masuala yanayohusu utunzaji wa mazingira katika maeneo yao.
Wito huo umetolewa na Afisa Mazingira wa Halmashauri...
Imetumwa: June 2nd, 2020
Afisa Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai Julias Kakyama amewataka wanafunzi wa Kidato cha Sita kutumia muda uliobaki kufanya maandalizi ya muhimu ya Mtihani wa kumaliza elimu ya se...
Imetumwa: June 2nd, 2020
Serikali katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imewaelekeza wakuu wa shule zilizopokea wanafunzi wa Kidato cha Sita kusimamia taaluma na kuimarisha juhudi za kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa...