Imetumwa: June 14th, 2019
Katika kutekeleza agizo la kisheria la kila Halmashauri nchini kutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwaajili ya kuwawezesha wanawake, vijana na walemavu, wilaya ya Hai imetoa Zaidi ya Shilingi ...
Imetumwa: June 12th, 2019
Wananchi kijiji cha Ng’uni kata ya Masama kati wilayani Hai wamepatiwa mafunzo ya ufugaji wa nyuki wadogo pamoja na aina zake mafunzo ambayo yamefanyika katika ofisi ya kijiji hicho lengo ikiwa ni kup...
Imetumwa: June 10th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imelenga kuunda chama maalumu cha akiba na mikopo (Saccos) ya wanawake itakayowawezesha Kujikwamua kiuchumi.
Hayo yamesemwa na Afisa maendeleo ya Jam...