Imetumwa: February 28th, 2023
Wananchi wa Kata ya Muungano Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameiomba serikali kuwajengea kituo Cha Afya katika kata hiyo ili kuwasogezea huduma ya Afya Karibu.
Wananchi hao walitoa ombi hilo waka...
Imetumwa: February 24th, 2023
Mbunge wa jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kulipatia jimbo hilo fedha nyingi zinazopelekea uwepo wa miradi mikub...
Imetumwa: February 23rd, 2023
Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Amiri Mkalipa amewataka madereva bodaboda na bajaj wilayani humo kutojaribu kujihusisha na makundi ya kihalifu kwa namna yoyote ile na atakayebainika kujihusisha atachukuliw...