Imetumwa: May 12th, 2020
Wazee Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro,wamempongeza rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa jitihada mbalimbali anazozifanya katika kuijenga nchi hususani kukemea rushwa,ulevi,up...
Imetumwa: May 11th, 2020
Baada ya kutokea uhaba wa sukari hivi katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro hatimae huduma hiyo imeanza kupatikana huku ikiuzwa kwa bei elekezi ya sh.2700.
Akizungumza na Radio Boma Hai Fm leo Ka...
Imetumwa: May 6th, 2020
Wananchi wilayani Hai wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya kujikinga dhidi ya virusi vya corona na kutumia vema elimu wanayoipata.
Hayo yamejiri hii leo wakati kamati ya uhamasishaji wa kujik...