Imetumwa: June 22nd, 2021
Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewataka wananchi kuendelea kuchukua hatua za kutunza mazingira kwenye maeneo yao ili kuwa na mazingira rafiki kwa ustawi wa watu, mimea na wanyama.
Rai hi...
Imetumwa: June 17th, 2021
Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafuwe ameiomba serikali kutupia jicho Hospitali ya wilaya ya Hai kwa kuongeza majengo pamoja na ununuzi wa vifaa tiba ili iweze kukidhi mahitaji ya wananchi kwa kupat...
Imetumwa: June 17th, 2021
Jamii imeaswa kuacha kulima kilimo cha mazoea bali walime kilimo cha kisasa ili kuongeza kipato na kuboresha afya kwa kula mlo ulio bora. kwa ajili ya kuimarisha afya.
Hayo yamesemwa na Af...