Imetumwa: December 14th, 2022
Mila potofu, ushirikiano hafifu vimetajwa kuchangia vitendo vya ukatili hususani kwa watoto kuendelea kushika kasi kwenye jamii na kurudisha nyuma juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo ...
Imetumwa: December 13th, 2022
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu ameipongeza wilaya ya Hai kwa kukamilsha ujenzi wa madarasa 10 ya sekondari ndani ya muda uliopangwa na kwa ubora huku akizitaka halmashauri zingine kujif...
Imetumwa: December 10th, 2022
Ukosefu wa heshima, mmomonyoko wa maadili, mila na desturi kandamizi na kukosa hofu ya Mungu vimetajwa kuchochea vitendo vya ukatili katika jamii nyingi.
Akimwakilisha mkuu wa wilaya ya Hai kwenye ...