Imetumwa: January 23rd, 2020
Serikali katika Wilaya ya Hai imeazimia kusimamia upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi wote wanaosoma katika shule za wilaya hiyo.
Msimamo huo wa serikali umetolewa mapema leo na Mkuu wa Wilaya ya ...
Imetumwa: January 21st, 2020
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole sabaya amesema tayari wamiliki wa mabasi wanao tuhumiwa kuhujumu miundombinu ya reli wameripoti kituo cha polisi Bomang’ombe wilayani Hai.
Wamiliki hao ni Clemence ...
Imetumwa: January 17th, 2020
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Mhe.William Ole Nasha amesema kuwa serikali kwa kutambua umuhimu wa Elimu ya ufundi kuelekea Tanzania ya viwanda imeendelea kufanya uwekezaj...