Imetumwa: May 24th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Hai Amiri Mkalipa amewataka wananchi wa kijiji cha chemka pamoja na wafanyabiashara wa eneo la utalii chemka kata ya Masama Rundugai kuwa na utamaduni wa kupa...
Imetumwa: May 23rd, 2024
Wananchi wa kijiji cha Sanya Station katika kata ya Kia wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambavyo serikali yake inawajali na kuwakimbilia hata baad...
Imetumwa: May 23rd, 2024
Serikali imetoa zaidi ya shilingi million 48 Kwa ajili ya ujenzi wa choo Bora katika shule ya msingi Bomang'ombe iliyopo katika Kijiji cha mkombozi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro...