Imetumwa: August 21st, 2024
Wakuu wa Divisheni na Vitengo (CMT) wa Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro wameshauriwa kutumia mashine za kuchana karatasi kwa ajili ya kuhifadhi taarifa nyeti za kiofisi.
Ushauri...
Imetumwa: August 17th, 2024
Mashirika binafsi na yasiyoyakiserikali (NGO’S) yaliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro yameaswa kufanya kazi kwa weledi na kushirikiana kwa pamoja ili kuongeza tija katika utendaji k...
Imetumwa: August 15th, 2024
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Mohammed Mchengerwa ametangaza tarehe 27/11/2024 itakuwa siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Mchengerwa ametoa tamko hilo leo katika viwanja vya...