Imetumwa: August 25th, 2020
Vyama vitatu vya siasa vimeteuliwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu ndani ya Jimbo la Hai baada ya kukidhi vigezo vya kugombea ikiwa ni kwa mujibu wa sheria za uchaguzi.
Vyama vilivyoteuliwa ni pamoj...
Imetumwa: August 21st, 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo amewahakikishia walimu katika wilaya hiyo kuwa Serikali inawajali na itaendelea kuwapatia huduma wanazostahili ili kuimarisha utoaji e...
Imetumwa: August 8th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro inaendelea kuimarisha vita ya kupambana na uharibifu wa mazingira ikiwemo kukata miti kwa ajili ya nishati ya kuni au mkaa kwa kutafuta vyanzo mbadala v...