Imetumwa: October 11th, 2025
Halmashauri ya wilaya ya Hai imeisaini mkata na kampuni ya Nolspan International wenye tahamani ya shilingi bilioni 10.89 kwa ajili ya ujenzi wa soko jipya la Kwasadala mradi unaotarajiwa kutekelezwa ...
Imetumwa: September 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko ameagiza uchunguzi kufanyika kufuatia Darasa la awali katika Shule ya Nkronga iliyopo kata ya Masama Magharibi lililoungua na moto usiku wa kuamkia leo.
...
Imetumwa: September 25th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Kilimnjaro Nurdin Babu ametoa pongezi kwa Mkuu wa wilaya ya Hai,Mkurugenzi pamoja na viongozi wengine kwa usimamizi bora walioufanya katika kusimamia miradi hiyo na anaamini itak...