Imetumwa: January 26th, 2022
Kamati ya fedha uongozi na mipango wilaya ya Hai imefanya ziara katika kata mbali mbali za wilaya hiyo kwa lengo la kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imetekelezwa kupitia f...
Imetumwa: January 21st, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inatafuta fedha kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa skimu za umwagiliaji kwa lengo la kuimarisha kilimo nchini.
...
Imetumwa: January 14th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imetoa mkopo wa jumla ya shilingi milioni 94 na laki 9 na kuvikopesha vikundi 9 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.
Akikabidhi hundi yenye th...