Imetumwa: February 16th, 2022
MKUU wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Juma Irando amewataka Wakandarasi waliopata kazi za wakala wa barabara za Vijini na Mijini (TARURA) kuhakikisha wanazingatia mikataba yao na ...
Imetumwa: February 15th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ,Juma Irando amemtaka Mkandarasi wa kampuni ya Helpdesk Engineering Tanzania Limited,Iliyopewa zabuni ya ujnezi wa mradi wa uongezaji maji katika viunga vya mj...
Imetumwa: February 10th, 2022
MENEJA wa TaNesco, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Mhandisi Daniel Kyando amesema Serikali imeweka mkakati wa kuvifikia vijiji vyote ambavyo havijapata huduma ya umeme kama ambavyo iliahidi.
Kyand...