Imetumwa: July 21st, 2022
Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amemshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi aliyoipeleka katika kila sekta ndani ya wilaya ya Hai.
Mbunge S...
Imetumwa: July 21st, 2022
Katibu tawala wilaya ya Hai Upendo Wella ameipongeza kamati ya Afya ya msingi ya wilaya hiyo kwa namna walivyotekeleza kwa ufanisi majukumu waliyopewa ya kuhakikisha zoezi la chanjo linafikiwa kulinga...
Imetumwa: July 18th, 2022
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango halmashauri ya wilaya ya Hai Julai 18 2022, imefanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo mbalimbali wilayani humo lengo likiwa ni kubaini en...