Imetumwa: May 11th, 2020
Baada ya kutokea uhaba wa sukari hivi katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro hatimae huduma hiyo imeanza kupatikana huku ikiuzwa kwa bei elekezi ya sh.2700.
Akizungumza na Radio Boma Hai Fm leo Ka...
Imetumwa: May 6th, 2020
Wananchi wilayani Hai wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya kujikinga dhidi ya virusi vya corona na kutumia vema elimu wanayoipata.
Hayo yamejiri hii leo wakati kamati ya uhamasishaji wa kujik...
Imetumwa: May 6th, 2020
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Hai mkoani Kilimanjaro,Adella Riwa amesema jamii ikifuata maelekezo ya wataalamu wa afya juu ya namna Bora ya kujinga na maambukizi ya virus vya Corona itasaidia ...