Imetumwa: January 17th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Hassan Omary Bomboko, amesema kuwa utatuzi wa kero za wananchi kwa kuzisikiliza na kuzifanyia kazi moja kwa moja katika kata zote za wilaya hiyo, ume...
Imetumwa: December 31st, 2025
Kufuatia kusambaa kwa taarifa potofu kwenye mitandao ya jamii kuhusu shule ya msingi Mbosho iliyoko wilayani Hai mkoani Kilimanjaro ikionesha jengo chakavu la shule hiyo na kwamba uchak...
Imetumwa: December 29th, 2025
Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe Saashisha Mafuwe amewataka wataalamu wa maji wilaya ya Hai kusimamia na kutatua changamoto zinazosababisha uhaba wa maji katika maeneo kadhaa ya wilaya ya Hai.
...