Imetumwa: March 1st, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo amewataka watumishi wa halmashauri hiyo kudumisha nidhamu wakati wa kuwahudumia wananchi kwani wananchi hao ndiyo waajiri wa ...
Imetumwa: February 24th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo ameomba madiwani kushiriki kukemea wafanyabiashara wanaowanyanyasa wakulima kwa kununua mazao mashambani kwa vipimo visivyo s...
Imetumwa: February 17th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameagiza Kamati ya ulinzi na usalama kuhakikisha inashirikiana na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kuwakamata wafanyabiashara na wateja wanaouza na kununua bidhaa...