Zaidi ya Walimu 100 wa Shule za Msingi na Sekondari katika Wilaya ya Hai wahitimu na kutunukiwa Cheti cha Mafunzo ya Awali ya Skauti ili nao wakaunde makundi ya skauti kwenye shule zao ikiwa ni juhudi za kuimarisha hali ya uzalendo miongoni mwa vijana ambao ni nguvukazi ya Taifa.
Mkuu wa Wilaya ya Siha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Mshikizi wa Wilaya ya Hai Onesmo Buswelu amewataka wataalamu wa halmashauri hiyo kushirikiana na wananchi kusafisha Mto Sanya ambao umejaa mchanga na kupunguza kina chake kiasi cha kusababisha kupasua kingo na kuleta uharibifu wa nyumba na mashamba ya wananchi wa Kijiji cha Sanya Station, Kata ya Kia wilayani Hai.
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai limepitisha makadirio ya bajeti ya jumla ya shilingi 39,988,656,345.45 kwa mwaka wa fedha 2018-2019
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai