Imetumwa: July 8th, 2019
Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM taifa Dkt Bashiru Ally amewataka wananchi kupokea taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi ili kuepuka kuvuruga nchi kwani kwa sasa kuna utitiri wa taarifa.
...
Imetumwa: July 9th, 2019
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akifuatilia mwenendo wa mafunzo kaz ya Kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa maafisa wa Halmashauri ...
Imetumwa: July 4th, 2019
Wito umetolewa kwa wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro hususani wakulima kujitokeza kununua matrekta kwa ajili ya kuendeleza sekta ya kilimo.
Wito huo umetolewa hii leo na Waziri wa Viwanda na Bias...