Imetumwa: January 27th, 2022
Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Hai Imran Shoo amewapongeza wananchi wa kata ya Mnadani kwa kuonyesha juhudi za kujitolea katika ujenzi wa shule ya seko...
Imetumwa: January 26th, 2022
Kamati ya fedha uongozi na mipango wilaya ya Hai imefanya ziara katika kata mbali mbali za wilaya hiyo kwa lengo la kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imetekelezwa kupitia f...
Imetumwa: January 21st, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inatafuta fedha kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa skimu za umwagiliaji kwa lengo la kuimarisha kilimo nchini.
...