Imetumwa: September 29th, 2020
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai Yohana Sintoo amewataka walimu na wanafunzi katika wilaya hiyo kuthamini juhudi za Serikali katika kuimarisha upatikanaji wa elimu nchini ikiwemo kutoa elimu...
Imetumwa: September 22nd, 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo amelishukuru Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa mchango wao kuimarisha upashanaji habari kwa kutum...
Imetumwa: September 17th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imekabidhi zaidi ya shilingi milioni thelathini na moja kwa vikundi vya wajasiriamali ikiwa ni kutekeleza mipango ya serikali kuwainua wananchi wake kiu...