Imetumwa: June 20th, 2022
Mkuu wa polisi wilaya ya Hai Mrakibu Mwandamizi wa jeshi la Polisi SSP Juma Majatta ametoa onyo kwa baadhi ya madereva ikiwemo waendesha bodaboda na bajaji kuacha kujihusisha na vitendo vya kihalifu i...
Imetumwa: June 14th, 2022
Serikali wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imewataka maafisa ugani kutumia vema pikipiki walizopewa kwa ajili ya kuwafikia wakulima katika maeneo yao kwa wakati na kuwapatia huduma muhimu za ugani  ...
Imetumwa: June 11th, 2022
Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika jengo jipya la wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya wilaya ya Hai Juni 11, 2022 baada ya kuridhishwa na ujenzi unaoendelea.
...