Imetumwa: November 1st, 2021
Halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi Mil. 118 na laki 5 kwa vikundi 16 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wilayani humo.
Akikabidhi mkopo h...
Imetumwa: November 1st, 2021
Wilaya ya Hai imepokea jumla ya shilingi milioni 950 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule za sekondari, vitakavyojengwa katika kata ...
Imetumwa: October 22nd, 2021
Katibu tawala wilaya ya Hai Upendo Wella amewataka watumishi wa umma na wananchi wilayani Hai kuendelea kujitokeza kupata chanjo ya Uviko-19 kwa lengo la kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo n...