Imetumwa: January 23rd, 2024
Wakuu wa wilaya nchini wametakiwa kutenga muda wao kwa kushirikiana na watendaji wengine wa serikali katika kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zilizopo katika maeneo yao.
Hayo yamesemwa na katib...
Imetumwa: November 22nd, 2023
Mbunge wa Kundi la Wafanyakazi Mhe. Dkt Alice Kaijage amewataka Watumishi kuendelea kufanya kazi kwa bidii wakati serikali inaendelea kutatua changamoto zao.
Akizungumza katika kikao kilic...
Imetumwa: November 8th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Amir Mkalipa amewataka viongozi wa dini kuwafundisha waumini kuwa na hofu ya Mungu kwa kutenda matendo mema na kuachana na maovu ili taifa liweze kuondokana na majanga...