Imetumwa: May 25th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Hai Juma Said Irando ameagiza kuundwa kwa timu ya uchunguzi ikiongozwa na mkuu wa polisi wilaya ya Hai SSP Juma Majatta kuchunguza madai ya kunyanyaswa kingono kwa watumishi wanaofan...
Imetumwa: May 19th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Juma Irando amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya Polio kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano (5) kwa lengo la kuwakinga na ugonjwa wa kupooza unaoto...
Imetumwa: May 12th, 2022
Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Hai kwa pamoja wamekubaliana kuendelea kuwahamasisha wananchi wilayani humo kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika nchi nzima A...