Imetumwa: May 28th, 2024
Katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Nzunda ametoa pongezi kwa uongozi wa wilaya ya Hai kwa kuandaa maadhimisho ya wiki ya maziwa yanayo adhimishwa tarehe 28/05/2024 hadi tarehe 1/06/2024....
Imetumwa: May 24th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Hai Amiri Mkalipa amewataka wananchi wa kijiji cha chemka pamoja na wafanyabiashara wa eneo la utalii chemka kata ya Masama Rundugai kuwa na utamaduni wa kupa...
Imetumwa: May 23rd, 2024
Wananchi wa kijiji cha Sanya Station katika kata ya Kia wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambavyo serikali yake inawajali na kuwakimbilia hata baad...